Chicken Feeders (Vyombo Vya Chakula)

12 maoni Vifaa na zana #15528

Maelezo

Jipatie Chicken Feeders kubwa Mahususi kwa ajili ya kuwalishia chakula kuku wako
Epuka kuwa wekea kuku chakula chini ili kupunguza Changamoto ya magonjwa ya mara kwamara
Tupigie + ili uweze kupata
Tunapatikana Tegeta kwa ndevu Dar es salaam

Sifa

Kategoria
Vifaa na zana
Hali
New