Egg Booster

105 maoni Dawa za mifugo #360

Maelezo

Jipatie Egg booster Mahususi kwa ajili ya kuimarisha afya ya Kuku Wa mayai
Husaidia Kuongeza uzalishaji Au utagaji na kuimarisha Ganda la mayai kuku wa mayai
Husaidia kurejesha afya ya Kuku wakati wa msongo wa mawazo
Tunapatikana Tegeta Kibo Dar es salaam
Tupigie Leo ili uweze kupata

Sifa

Kategoria
Dawa za mifugo
Kwa agizo la daktari
Hapana