Chokaa Ya Mifugo (Poultry Limestone Powder, 50kg )

9 maoni Malisho na virutubisho #15517

Maelezo

JIPATIE CHOKAA SAFI (Lime Stone Powder,50kg ) Mahususi Kwa ajili Ya Kuimalisha Afya ya Mifugo Wako
Ina kiwango kikubwa cha Madini Ya Calcium ambayo yanasaidia kuimarisha mifupa ya mifugo
Husaidia kwenye kutengeneza mayai imara na Maganda magumu ya nje
Inatatua changamoto ya mifugo wako kutetemeka miguuu au
Ni rahisi kutumia
Tupigie leo ili uweze kupata

Sifa

Kategoria
Malisho na virutubisho
Kiasi
50.00 kg